Tuesday, October 6, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TERLEVISHENI

CH10 NEWS

SIMUTV:Sakata la kupigwa mnada eneo la wafanya biashara eneo la Temeke jijini Dar es salaam lazua taharuki huku serikali ikiombwa kuingilia.https://youtu.be/hoCT3lqjEwA

SIMUTV:Tasisi ya utafiti ya magonjwa ya binadamu NIMR inatarajiwa kufanya kongamano lake la sayansi la 29 kuanzia October 13.  https://youtu.be/C6oz9foHQLs

SIMUTV:Raisi Jakaya Kikwete aendelea na ziara yake ya kikazi nchini Kenya kufuatia mwaliko wa raisi Uhuru Kenyata ambapo anatarajiwa kuhutubia bunge.https://youtu.be/KqnJFI1z3CM  

STAR TV NEWS

SIMUTV:Mgombea uraisi wa CCM Dr.Magufuli aahidi kuboresha sekta mifugo nchini kwa kuinua sekta ya ufugaji na kutoa ruzuku ya madawa ya mifugo.https://youtu.be/lPPwQWHwyFc    

SIMUTV:Mufti mkuu wa Tanzania Sheikh Zuberi akiri maafa yaliyotokea mjini Minna yalitokana na uvunjaji wa taratibu zilizowekwa na wenyeji.https://youtu.be/RFuEbGWExi8   

SIMUTV:Wakazi wa mji wa Morogoro waonja joto la jiwe baada ya madereva kugoma kutoa huduma ya usafiri wakishinikiza kuachiwa kwa mwenzao.https://youtu.be/4yoD7UfODOk  

SIMUTV:Raisi wa chama cha walimu Tanzania asema siku ya walimu imeadhimishwa duniani huku Tanzania kukiwa na malalamiko mengi kufuatia uwekezaji mdogo katika sekta hiyo. https://youtu.be/BSU5KH-SGq0  


TBC NEWS


SIMUTV:Serikali imekanusha habari zilizogaa katika mitandao ya kijamii kwamba waziri Abdalah Kigoda amefariki dunia huku ikihaidi kuchukua hatua kali.  https://youtu.be/H3zEHEE1mno    

SIMUTV:Mgombea uraisi wa Zanzibar Kupitia CCM aendelea na kampeni visiwani humo huku akiaahidi kulinda amani iliyojengeka Zanzibar. https://youtu.be/-a0E2dAUuzM   

SIMUTV:Mufti mkuu wa Tanzania Sheikh Zuberi asema idadi ya mahujaji wa Tanzania walifariki nchini Makkah imefikia 8 huku wengine wakiwa hawajulikani waliko.https://youtu.be/WypJNq5NBfs  

SIMUTV:Mgombea uraisi wa Chadema Edward Lowassa aendelea na kampeni mkoani Manyara huku akiaahidi kuboresha sekta ya kilimo. https://youtu.be/GkdigbYTxXo  

Azam tv news

SIMUTV:Mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa DP Mchungaji Christopher Mtikila unatarajiwa kuagwa keshokutwa katika viwanja vya Karemjee.https://youtu.be/ULJcsA6IWwc   

SIMUTV:Ofisi ya usajili wa vyama vya siasa yakanusha taarifa zilizozagaa kuwa baadhi ya vyama vimezidisha gharama zake za kuendesha kampeni.https://youtu.be/zd4uvDw0dLk  

SIMUTV:Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limefanikiwa kuwatia mbaroni watuhumiwa 6 wa mauaji ya ofisa wa Polisi jijini Dar es salaam.https://youtu.be/sTsDcUZR1QE  

SIMUTV:Kufutia uchomaji wa makanisa Mkoani Kagera kufikia 7,uongozi wa mkoa huo umewataka wananchi kutoa taarifa za siri ili kubaini chanzo chake.https://youtu.be/tz6d8b7fknE  

SIMUTV:Umoja wa vijana wa CCM UVCCM,wamponda Kingunge Ngombare Mwiru kufuatia hatua yake ya kuhama CCM huku wakisema anatetea maslahi yake.https://youtu.be/vjPOmvUKEfo  

SIMUTV:Profesa Lipumba aishauri tume ya taifa ya uchaguzi kuwa waadilifu na kutanda haki ili kuepusha nchi kuingia katika migogoro ya kisiasa.https://youtu.be/XVLxLnvfnBs

No comments: